Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 19Article 558400

Habari Kuu of Sunday, 19 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Rais Samia Suluhu Hassan awasili nchini Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan awasili nchini Marekani play videoRais Samia Suluhu Hassan awasili nchini Marekani

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kennedy Jijini New York Marekani leo 19 Septemba, 2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept, 2021.