Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 14Article 563182

Habari Kuu of Thursday, 14 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Rais Samia alivyowasili uwanja wa ndege wa Chato, mkoani Geita (video+)

Rais Samia alivyowasili uwanja wa ndege wa Chato, mkoani Geita (video+) play videoRais Samia alivyowasili uwanja wa ndege wa Chato, mkoani Geita (video+)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Chato, mkoani Geita kwa ajili ya kushiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa.