Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 18Article 552289

Habari Kuu of Wednesday, 18 August 2021

Chanzo: www.habarileo.co.tz

Rais Samia arejea nchini

Rais Samia arejea nchini Rais Samia arejea nchini

RAIS Samia Suluhu , amewasili nchini na kufikia Zanzibar wakati akitokea nchini Malawi alikokua alishiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizika leo Agosti 18, nchini Malawi.

Katika mkutano huo, Rais alihutubia katika mkutano huo ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Rais wa Tanzania na kujitambulisha rasmi kwa Wakuu wa nchi na Serikali wa jumuiya hiyo.

Amejitambulisha jana Agosti 17, 2021, katika mkutano wa SADC uliofanyika Lilongwe nchini Malawi. Mkutano huo unamalizika leo na tayari Rais amerejea nchini.