Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 10Article 584665

Habari Kuu of Monday, 10 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Samia kufanya kikao na Mawaziri wote January 13

Rais Samia kufanya kikao na Mawaziri wote January 13 Rais Samia kufanya kikao na Mawaziri wote January 13

Baada ya kumaliza uapishwaji wa Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia amesema kuwa anatarajia kukutana na kufanya vikao na Mawaziri na Makatibu Wakuu Alhamisi January 13 ili kupeana miongozo ya kiutendaji.

"Mawaziri na manaibu Waziri tutakutana keshokutwa tarehe 13 ambapo tutafundana kule ndani, kwa makatibu wakuu na manaibu tarehe itakayopangwa lakini tutakutana, wale wa sekta nyingine niwatake kazi njema kwasababu ni mihimili mingine sina mkono mrefu kule",