Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 10Article 542080

Habari Kuu of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Wa Botswana Awasili Nchini Kwa Ziara Ya Siku Mbili (Picha +Video)

Rais Wa Botswana Awasili Nchini Kwa Ziara Ya Siku Mbili (Picha +Video) play videoRais Wa Botswana Awasili Nchini Kwa Ziara Ya Siku Mbili (Picha +Video)

Rais wa Botswana, Dk. Mokgweetsi Masisi amewasili nchini leo Juni 10, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Dk. Masisi amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo baada ya hapo, ataelekea Ikulu ambapo baadaye atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia.⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Join our Newsletter