Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 11Article 584905

Muziki of Tuesday, 11 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rapper Kanye West katuletea hii video mpya "Heaven and Hell"

Rapper  Kanye West katuletea hii video mpya play videoRapper Kanye West katuletea hii video mpya "Heaven and Hell"

Rapper kutokea nchini Marekani, Kanye West time hii ameachia video mpya ya wimbo wake uiwayo ‘Heaven and Hell’ uliopo kwenye album yake mpya ya Donda.

Video hii pia ilionyeshwa kupitia Channel ya mtandao mkubwa wa michezo nchini Marekani unaofahamika kama ESPN.

Katika video hiyo wameonekana watu wakiwa wamevalia masweta yenye brand yake inayojulikana kwa jina la “Yeezy Gap”.