Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 27Article 540094

Habari Kuu of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Ridhiwani: Mzee Kikwete Yupo Salama

Ridhiwani: Mzee Kikwete Yupo Salama Ridhiwani: Mzee Kikwete Yupo Salama

Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na rais mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete kuwa amefariki dunia.

“Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.”Join our Newsletter