Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 04Article 541054

xxxxxxxxxxx of Friday, 4 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Sabaya afikishwa Mahakamani Arusha

Leo June 4, 2021 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakisubiri kupandishwa kizimbani wakati wowote kuanzia sasa kusomewa mashtaka.MSITU WA SHETANI, NGUVU ZA GIZA, MAAJABU YA KUTISHA, KONDOO 2OO NA WATU WAMEMEZWA

Join our Newsletter