Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 04Article 541072

xxxxxxxxxxx of Friday, 4 June 2021

Chanzo: ippmedia.com

Sabaya afikishwa mahakamani uhujumu uchumi

Sabaya, na washtakiwa wenzake watano walifikishwa Mahakamani hapo, majira ya saa 1:10 mchana  akiwa na chini ya ulinzi wa maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Mashtaka yanayowakabili washtakiwa hao ni pamoja na uhujumu uchumi,kuongoza magenge ya kiuhalifu, kuomba na kushawishi kupewa rushwa na unyanganyi kwa kutumia silaha.

Join our Newsletter