Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 09Article 541711

Habari Kuu ya

Chanzo: www.habarileo.co.tz

Samia aahidi maji kwa 95% miji yote nchini

Samia aahidi maji kwa 95% miji yote nchini Samia aahidi maji kwa 95% miji yote nchini

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2025, serikali itakuwa imekamilisha kupeleka maji katika majiji na miji kwa asilimia 95, na katika vijiji kwa asilimia 85.

Amesema hayo leo wakati wa Mkutano wake na wanawake, jijini Dodoma huku akisisitiza kuwa lengo ni ‘kumtua mama ndoo kichwani’.

Aidha amesema kufikia mwaka 2024, vijiji vyote vitakuwa vimepata umeme, na kuwa kazi itakayobaki ni usambazaji wa umeme huo majumbani.

Pia amewaasa wanawake kutumia umeme huo kiuchumi.

Join our Newsletter