Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 27Article 540214

Habari Kuu of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: millardayo.com

Sanga amuuliza Waziri Mkuu kushamiri kwa ujambazi, ajibiwa (+video)

Sanga amuuliza Waziri Mkuu kushamiri kwa ujambazi, ajibiwa (+video) play videoSanga amuuliza Waziri Mkuu kushamiri kwa ujambazi, ajibiwa (+video)

“Jeshi la Polisi linafanya kazi nzuri sana na siku mbili tatu hizi nimesikia kazi nzuri waliofanya Dar es salaam na watanzania wote wamesikia kazi nzuri ya kudhibiti hawa majambazi nataka nikuhakikishie kwamba Serikali inaendelea na kazi hiyo ya kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaendelea”–Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Swali la Mbunge wa Makete, Festo Sanga katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma, Mbunge Festo Sanga alitaka kujua kauli ya Serikali kuhusu vitendo viovu vya ujambazi vinavyoendelea.

Join our Newsletter