Uko hapa: NyumbaniHabari2021 07 04Article 545242

Habari za Afya of Sunday, 4 July 2021

Chanzo: millardayo.com

Saratani inaweza kutibika ikigundulika mapema

Saratani inaweza kutibika ikigundulika mapema Saratani inaweza kutibika ikigundulika mapema

Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichalwe amesema Ugonjwa wa Saratani ukigundulika mapema unaweza kutibika endapo Mgonjwa ataanza kupata matibabu mapema.

Tafiti za Shirika la Umoja wa Mataifa la Tafiti za Saratani (IARC) za 2018 zinaonesha katika watu 100,000 Wagonjwa 76 wa Saratani hubainika kila mwaka, hii ni sawa na makadirio ya Wagonjwa wapya wa Saratani 42,060 kwa mwaka.

Dkt. Sichalwe amesema ni muhimu kuelimisha juu ya ulaji unaofaa, umuhimu wa ufanyaji mazoezi, kuelimisha juu ya madhara ya matumizi ya pombe kupita kiasi na tumbaku.

RAIS SAMIA ALIVYOFIKA UWANJA WA MKAPA KUTAZAMA GAME YA SIMBA NA YANGA