Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 23Article 573682

Habari za Afya of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Serikali imesema Watanzania Milioni 1.3 wamepata chanjo ya COVID-19

Serikali imesema Watanzania Milioni 1.3 wamepata chanjo ya COVID-19 Serikali imesema Watanzania Milioni 1.3 wamepata chanjo ya COVID-19

Waziri wa Afya Dr. Gwajima amesema kuwa hadi kufikia November 19, 2021 Watanzania 1,359,624 wameshapata chanjo.

Waziri Gwajima ameyasema hayo leo November 23, 2021 wakati akipokea dozi 499,590 za chanjo ya Pfizer ambazo zitatumika kuwakinga Watanzania 249,795 kwa dozi mbili mbili kwa kila mtu