Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 20Article 573007

Habari Kuu of Saturday, 20 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Serikali imetaja sababu za Denmark kufunga Ubalozi wake Tanzania

Serikali imetaja sababu za Denmark kufunga Ubalozi wake Tanzania Serikali imetaja sababu za Denmark kufunga Ubalozi wake Tanzania

Baada ya Serikali ya Denmark kutangaza hatua za kuufunga Ubaozi wake uliokuwepo nchini kwa takribani miongo sita, na kueleza kuwa inataka kuendana na mpango wa nchi hiyo katika masuala ya kimataifa.

Leo November 20, 2021 Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Mulamula ameeleza sababu za Denmark kufunga ubalozi wake nchini.Uamuzi wa kufungwa Ubalozi wa Denmark ulitangazwa Agosti 27, 2021) na Waziri wa Mambo ya nje wa Denmark, Jeppe Kofod ambapo alisema ni matokeo ya sehemu ya marekebisho ya sera za Denmark ya uwepo wake kimataifa.