Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 05Article 561463

Habari Kuu of Tuesday, 5 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Serikali yafuta Tsh. Bilioni 101 kwenye tozo za mafuta, bei mpya kuanza kesho

Serikali yafuta Tsh. Bilioni 101 kwenye tozo za mafuta, bei mpya kuanza kesho Serikali yafuta Tsh. Bilioni 101 kwenye tozo za mafuta, bei mpya kuanza kesho

Rais Samia ameagiza kufanyiwa mabadiliko na kupunguwa kodi zinazochangia bei kubwa ya mafuta ya mitambo nchini. Kodi hizo zinazofikia shilingi bilioni 102 kwa mwaka zimeondolewa kwenye makusanyo.

Taarifa ya Waziri wa Nishati, January Makamba imesematayari kama wizara wamepokea maelekezo ya Rais na utekelezaji wa bei mpya za mafuta utaanza rasmi Jumatano October 6, 2021