Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 06Article 541282

Habari Kuu ya

Chanzo: millardayo.com

Serikali yaruhusu Balozi kuingiza chanjo (+video)

Serikali yaruhusu Balozi kuingiza chanjo (+video) play videoSerikali yaruhusu Balozi kuingiza chanjo (+video)

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa wa Tanzania imetoa ruhusa kwa balozi na taasisi za kimataifa kuleta chanjo za ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa ajili ya kuwachanja raia na watumishi wake ili kuendana na taratibu za nchi zao na taasisi hizo pamoja na kuondoa kadhia wanazopata katika utendaji kazi zao kutokana na kutochanjwa.

Join our Newsletter