Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584140

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Shinyanga: Mzee Akutwa Amejinyonga

Shinyanga: Mzee Akutwa Amejinyonga Shinyanga: Mzee Akutwa Amejinyonga

Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Magesa Mahona anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 60 na 65 mkazi wa mtaa wa Ugweto manispaa ya Shinyanga amefariki kwa kujinyonga katika nyumba yake majira ya usiku.

Mwili wa marehemu uligunduliwa na familia yake leo asubuhi baada ya kukutwa ukining’inia. Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, ACP George Kyando amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Endelea kufuatilia habari zetu kwa taarifa zaidi....