Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 585994

Habari Kuu of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Shule 10 Bora Matokeo ya Kidato cha Pili

Shule 10 Bora Matokeo ya Kidato cha Pili Shule 10 Bora Matokeo ya Kidato cha Pili

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021.

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

Akitangaza matokeo hayo, Dkt. Msonde amesema watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020.

Shule 10 bora kwenye upimaji wa form two kupitia matokeo yaliyotangazwa leo January 15 2022. 1. St Francis Girls - Mkoa wa Mbeya 2. Kemebos - Kagera 3. Graiyaki - Mara 4. Canossa - Dar es salaam 5. Tengeru Boys - Arusha 6. St. Monica Moshono Girls - Arusha 7. St. Augustine Tagaste - Dar es salaam 8. Centennial Christian - Peani 9. Bethel sabs Girls - Iringa 10. Bright Future Girls - Dar es salaam.