Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 585973

Habari Kuu of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Shule Kumi Bora Zatangazwa Matokeo Ya Kidato Cha Nne

Shule Kumi Bora Zatangazwa Matokeo Ya Kidato Cha Nne Shule Kumi Bora Zatangazwa Matokeo Ya Kidato Cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021.

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

Shule 10 bora kwenye matokeo ya form 4 yaliyotangazwa leo January 15 2022.

1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua Seminary - Kilimanjaro 7. Feza Boys - Dsm 8. Precious Blood - Arusha 9. Feza Girls - Dsm 10. Mzumbe Secondary - Morogoro.