Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 06Article 583690

Habari Kuu of Thursday, 6 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Spika Job Ndugai Ajiuzulu – Video

Spika Job Ndugai Ajiuzulu – Video Spika Job Ndugai Ajiuzulu – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ndani ya Bunge leo Alhamisi, Januri 6, 2022 kutokana na fukuto la kisiasa linaoendelea kufuatia kauli yake aliyoitoa kuhusu Rais Samia Suluhu kukopa Tsh trilioni 1.3.

Ndugai amechukua maamuzi hayo kwa hiari na kwa kuzingatia na kujali maslahi mapana zaidi ya Taifa, serikali na chama cha CCM.

Aidha Ndugai ametoa shukrani za dhati kwa Wabunge, Rais Samia Suluhu Hassan wananchi wa jimbo la Kongwa na watanzania kwa ujumla.