Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 12Article 585286

Habari Kuu of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Spika Sio Lazima Awe Mbunge

Spika Sio Lazima Awe Mbunge Spika Sio Lazima Awe Mbunge

Katiba ya Tanzania, Ibara ya 84(1) na 84(2) inatamka kuwa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuwa mtu yeyote ambaye ana sifa za kuwa Mbunge (siyo lazima awe Mbunge).

Watu wenye madaraka kama Mawaziri, Naibu Waziri na wengine hawawezi kuchaguliwa kuwa Spika kwa mujibu wa katiba.

Aidha, kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Ibara ya 84(9) iwapo mtu asiye Mbunge akichaguliwa kuwa Spika wa Bunge atatakiwa kuapa Kiapo cha Uaminifu.