Uko hapa: NyumbaniHabari2021 07 06Article 545677

Uhalifu & Adhabu of Tuesday, 6 July 2021

Chanzo: dar24.com

Sumu yaua watoto, 15 walazwa

Sumu yaua watoto, 15 walazwa Sumu yaua watoto, 15 walazwa

Watoto wawili, wakazi wa kata ya Ikobe wilayani Mbogwe mkoani Geita wamefariki dunia mara baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amesema wengine 15 wamelazwa katika kituo cha afya cha Iboya baada ya kula chakula hicho.

Makamu wa Rais atoa maagizo nane kukuza biasharaAmesema watoto hao walikula chakula kilichoandaliwa siku ya harusi iliyofanyika katika kata hiyo ya Ikobe.

Kwa mujibu wa Kamanda Mwaibabe, uchunguzi zaidi kuhusu tukio hilo unaendelea.

Rais Samia afanya uteuziUjenzi wa sanamu la Magufuli viwanja vya sabasaba