Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 29Article 544783

Habari Kuu of Tuesday, 29 June 2021

Chanzo: ippmedia.com

Tanzania kuingia uchumi wa juu

Tanzania kuingia uchumi wa juu Tanzania kuingia uchumi wa juu

Majaliwa ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa wa miaka mitano uliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

“Tathmini inaonesha kuwa dalili za Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa juu ni chanya kutokana na utekelezaji wa maendeleo ya watu na vitu," amesema.

"Mengi yanayoonekana katika kuchochea uzalishaji mali ni pamoja na usambazaji wa huduma za jamii kama maji, umeme, vituo vya kutolea huduma za afya, kilimo na barabara,"

"Serikali imeendelea kuwekeza katika uwezeshaji mazingira rafiki kwa wawekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi kipitia viwanda,” amesema Majaliwa.

Michezo

Biashara

Burudani

Afrika

Maoni