Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 13Article 585568

Habari Kuu of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia

Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia

Taarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve Moyo Mchongi amefariki dunia jioni hii.

Ndugu wa karibu wa marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba wa mtangazaji huyo nguli na kuahidi taarifa zaidi kutolewa baadae na familia.