Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 16Article 551824

Habari Kuu of Monday, 16 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasili nchini Malawi (Video+)

Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasili nchini Malawi (Video+) play videoTazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasili nchini Malawi (Video+)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katiaka Uwanja wa Ndege wa Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika kuanzia tarehe 17 – 18 Agosti, 2021.