Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 03Article 540751

Uhalifu & Adhabu of Thursday, 3 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Tukio la mtu kupigwa risasi Mabibo, Kamanda ang'aka (+video)

Tukio la mtu kupigwa risasi Mabibo, Kamanda ang'aka (+video) play videoTukio la mtu kupigwa risasi Mabibo, Kamanda ang'aka (+video)

Kamanda a Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhan Kingai amewataka watu wasitumie vibaya mitandao ya kijamii kwa kujazana hofu huku akitolea Mfano tukio la mtu kupigwa risasi lililotokea Mabibo.

Akizungumza mbele ya vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam, pia Kamanda Kingai ametoa ONYO kwa watu wanaotumia barabara ya Magari Yaendayo Haraka “Mwendokasi”.

Join our Newsletter