Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 26Article 544297

Siasa of Saturday, 26 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Tundu Lissu akanusha kutaka kulipwa madai yake na Serikali

Tundu Lissu akanusha kutaka kulipwa madai yake na Serikali play videoTundu Lissu akanusha kutaka kulipwa madai yake na Serikali

Baada ya habari kuanza kusambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha serikali ina dhamira ya kuwalipa baadhi ya watumishi ambao wanadai madai yao hasa kutoka ofisi ya spika na karatasi ikionesha ni kama imetoka wizara ya fedha na ikitakaja baadhi ya waliokuwa wabunge akiwepo Tundu Lissu.