Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 586108

Habari Kuu of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

UTAFITI: 2021 watajwa nafasi ya sita miaka yenye joto zaidi

UTAFITI: 2021 watajwa nafasi ya sita miaka yenye joto zaidi UTAFITI: 2021 watajwa nafasi ya sita miaka yenye joto zaidi

Utafiti wa Hali ya Joto Duniani umeonesha Mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita kwa Miaka yenye joto zaidi Duniani

Takwimu za hivi karibuni zilizokusanywa na Shirika la Marekani linaloshughulikia Utafiti wa Anga za Mbali (NASA) na Idara ya Bahari na Anga ya Marekani (NOAA) zinasisitiza kuhusu mzozo wa Hali ya Hewa Duniani

Uchambuzi umeonesha wastani wa Hali ya Joto kwa Mwaka 2021 ulikuwa nyuzi joto 1.51 za kipimo cha Celsius juu ya viwango vya karne ya 20.