Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584245

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#UTEUZI: Dkt Angeline Mabula Kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi

Dkt Angeline Mabula Dkt Angeline Mabula

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Angeline Mabula Kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi.