Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584251

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#UTEUZI: Dkt Steven Kiruswa, Naibu Waziri wa Madini

Dkt Steveen Kiruswa Dkt Steveen Kiruswa

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Steveen Kiruswa kuwa Naibu Waziri wa Madini.