Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584263

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#UTEUZI: Mhandisi Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani

Mhandisi Hamad Masauni Mhandisi Hamad Masauni

Rais Samia, amemteua Mhandisi Hamad Masauni kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, na Jumanne Sagini ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani.