Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584212

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#UTEUZI: Simbachawene Waziri wa Katiba na Sheria

George Simbachawene George Simbachawene

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua George Simbachawene Kuwa Waziri wa Katiba na Sheria,Kabla ya Uteuzi huu, Simbachawene alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.