Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584269

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#UTEUZI: Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya

Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Ummy Mwalimu kuwa Waziri wa Afya, akichukua nafasi ya Dkt. Dorothy Gwajima.