Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 586111

Habari za Mikoani of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Ukatili: Baba Awabaka Watoto Wake 5 Kwa Zamu- Video

Baba Awabaka Watoto Wake 5 Kwa Zamu play videoBaba Awabaka Watoto Wake 5 Kwa Zamu

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson Ole Tiko Mkazi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto mkoani Manyara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa tuhuma za kuwabaka watoto wake wa kuwazaa kwa zamu Jackson amefanya unyama huo kwa zaidi ya miaka miwili huku ikidaiwa kuwatishia kuwachinja endapo watasema na kwamba hali hiyo imeendelea mpaka ilipogunduliwa na shemeji zake baada ya kufika hapo