Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 23Article 553132

Uhalifu & Adhabu of Monday, 23 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Ulinzi:Mbowe na wenzake warudishwa Mahakamani Kisutu (Video+)

Ulinzi:Mbowe na wenzake warudishwa Mahakamani Kisutu (Video+) play videoUlinzi:Mbowe na wenzake warudishwa Mahakamani Kisutu (Video+)

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kusomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili.

Unaweza ukabonyeza play kutazama jinsi Freeman Mbowe na wenzake walivyofikishwa leo Agosti 23, 2021 Mahakama ya Kisutu kusomewa maelezo ya mashtaka yakiwemo Ugaidi na Uhujumu Uchumi.