Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 22Article 573433

Habari Kuu of Monday, 22 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

VIDEO: Alichokisema Rais Samia akiwa anawatunuku kamisheni maofisa JWTZ

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania play videoSamia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais Samia ameshiriki sherehe ya kuwatunuku Kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ.

Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 22, 2021 jijini Arusha.