Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 19Article 572779

Habari Kuu of Friday, 19 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

VIDEO: Alichosema IGP Sirro kuhusu hali ya usalama nchini

Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi limejiimarisha kwenye upande wa mafunzo mbalimbali ya medani ili kukabiliana na matishio ya uhalifu na wahalifu na kuhakikisha hali ya usalama nchini inaendelea kuwa shwari.