Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 13Article 585559

Habari za Mikoani of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

VIDEO: Hii ndio hatima soko la Ndugai

Hii ndio hatima soko la Ndugai Hii ndio hatima soko la Ndugai

Kufuatia ujenzi wa soko la kisasa la wafanyabiashara linalojengwa na jiji la Dodoma ambalo lilitarajiwa kukamilika Machi 17 mwaka huu, ikiwa ni siku ambayo Rais Samia anatimiza mwaka mmoja madarakani, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amesema soko la Job Ndugai sio kwaajili ya wamachinga peke yake bali jiji liliona wafanyabiashara wa jumla mfano wa mbogamboga wawe wanashushia mizigo yao eneo lile na kusema kutokana na ujenzi wa makazi unaoendelea eneo lile kuna siku patagombaniwa