Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 14Article 585748

Siasa of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

VIDEO: Mwijaku achukua fomu ya Uspika!

Mwijaku achukua fomu ya Uspika! Mwijaku achukua fomu ya Uspika!

Msanii na mtangazaji aliyejizolea umaarufu kupitia mitandao ya kijamii, Mwemba Batoni maarufu kwa jina la Mwijaku, leo Ijumaa Januari 14, 2022 amejitokeza kuomba nafasi ya kuwania kiti cha Uspika.