Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 12Article 585202

Uhalifu & Adhabu of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: millardayo.com

VIDEO: Nyumbani kwa Mama aliyeuawa na mwanae "Milioni 60 zatajwa"

Nyumbani kwa Mama aliyeuawa na mwanae play videoNyumbani kwa Mama aliyeuawa na mwanae "Milioni 60 zatajwa"

Wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro likiwashikilia watu ikiwemo binti wa marehemu na waganga wawili wa kienyeji kwa tuhuma za mauaji ya mama anayefahamikakwa jina la Patricia Paulo na kisha mwili wake kufukiwa pembeni ya nyumba yake Ayo TV & Millardayo.com imefika hadi eneo la tukio ambapo majirani na mashuhuda wameeleze kila kitu.