Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 23Article 573712

Habari Kuu of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: millardayo.com

VIDEO: Pikipiki ya umeme, ukichaji inakutoa Dar hadi Bagamoyo, inauzwa Milioni 6.4

Pikipiki ya umeme, ukichaji inakutoa Dar hadi Bagamoyo, inauzwa Milioni 6.4 (video+) – Millard play videoPikipiki ya umeme, ukichaji inakutoa Dar hadi Bagamoyo, inauzwa Milioni 6.4 (video+) – Millard

Dunia inabadilika, sio tena pikipiki zinazotumia mafuta bali gumzo la sasa ni pikipiki zinazotumia nishati ya umeme, betri inachajiwa kisha pikipiki inaingia barabarani, haiwashwi kwa kiki wala haina kelele hata tone… Madereva bodaboda wamepewa na wapeleka hesabu ya $40 sawa na elfu 90 Tsh. kwa wiki.