Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 17Article 551935

Habari Kuu of Tuesday, 17 August 2021

Chanzo: millardayo.com

VIDEO:Rais Samia ashiriki mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi na SADC nchini Malawi

VIDEO:Rais Samia ashiriki mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi na SADC nchini Malawi play videoVIDEO:Rais Samia ashiriki mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi na SADC nchini Malawi

Agosti 17, 2021 ambapo muda huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika nchini Malawi.

Mkutanoa huo umenaza leo tarehe 17 mpaka 18 Agosti, 2021.

Unaweza ukatazama live yanayojiri katika mkutano huo.