Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 10Article 584674

Siasa of Monday, 10 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

VIDEO: Ridhiwan Kikwete akiapa kuwa Naibu Waziri

Ridhwani Kikwete, Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Ridhwani Kikwete, Naibu Waziri Wizara ya Ardhi

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.