Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 22Article 573508

Habari za Mikoani of Monday, 22 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

VIDEO: tazama hapa mvua kubwa ya mawe yanyesha Kigoma

Mvua kubwa ya mawe yanyesha Kigoma Mvua kubwa ya mawe yanyesha Kigoma

Mapema Novemba 22, 2021 mvua kubwa ya mawe imenyesha mkoani kigoma, tukio hilo limepokewa kwa shangwe na wakazi wa mkoani hapo hasa ukizingatia hali ya ukame inayosumbua taifa kwa ujumla.