Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 15Article 542833

Habari Kuu of Tuesday, 15 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Video:Rais Samia "Malipo ya Wasanii mwezi Desemba"

Video:Rais Samia play videoVideo:Rais Samia "Malipo ya Wasanii mwezi Desemba"

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo akiongea na Vijana kwenye uwanja wa Nyamagana Mwanza amesema malipo wanayostahili kulipwa Wasanii wa muziki kutokana na kazi zao kuchezwa kwenye Radio na TV mbalimbali za Tanzania pale kazi zao zinapotumika yataanza kutolewa December 2021 kwa Wasanii hao.

“Ili kuikuza sekta ya Sanaa Serikali tumeimarisha haki miliki za Wasanii, nataka kuwataarifu Vijana kuwa kuanzia December mwaka huu Wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao kutokana na kazi zinazotumiwa kwenye radio, runinga au mitandaoni” —Rais Samia.