Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 15Article 542689

Habari za Mikoani of Tuesday, 15 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Video:Walichokifanya wanasheria wasiokuwa na mipaka

Video:Walichokifanya wanasheria wasiokuwa na mipaka Video:Walichokifanya wanasheria wasiokuwa na mipaka

Katika kupambana na ujangili wa Wanyamapori, Shirika lisilo la Kiserikali la Lawyers Without Border ‘Wanasheria Wasiokuwa na Mipaka’ limeendesha Mafunzo Shindani kwa Wanasheria wa Tanzania na Kenya kwa ajili ya kuwaongezea uwezo wa kushughulikia kesi mbalimbali ikiwemo za Wanyamapori. Joseph Kisole Meneja wa shirika hilo amesema“Shirika lina maka zaidi ya 20 sasa, tumekuwa tukiendesha programu tofauti tofauti juu ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu, kujengeana uwezo wa juu ya uendeshaji wa kesi za Wanyamapori,na tumekuwa na ushirikiano na sekta tofauti tofauti na tumekuwa tukiwaleta wataalamu wa Ndani na nje kwa ajili kuwaongezea uwezo wa kisheria, lengo kubwa ni mapambano dhidi ya ujangili na kuhakikisha tunapunguza kesi za Wanyamapori,”