Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 15Article 542863

Habari za Mikoani of Tuesday, 15 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Video iliyowaponza DC na DED wa Morogoro hadi kutenguliwa na Rais Samia

Video iliyowaponza DC na DED wa Morogoro hadi kutenguliwa na Rais Samia play videoVideo iliyowaponza DC na DED wa Morogoro hadi kutenguliwa na Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo June 15, 2021 katika mkutano wake na vijana mkoani Mwanza katika uwanja wa Nyamagana ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Sheila Lukuba kwa kushindwa kusimamia Wafanyabiashara wadogowadogo ‘Wamachingwa’, sasa Ayo TV tumekusogezea video iliyowaponza Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kupelekea kutenguliwa.