Uko hapa: NyumbaniHabari2021 07 08Article 546127

Dini of Thursday, 8 July 2021

Chanzo: ippmedia.com

Viongozi wa dini watakiwa kutoa elimu juu ya corona

Viongozi wa dini watakiwa kutoa elimu juu ya corona Viongozi wa dini watakiwa kutoa elimu juu ya corona

"Nawaomba sana maaskofu na viongozi wengine wadini tuwahimize waumini wetu katika kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 lakini pia tuliombee Taifa na dunia ili ugonjwa huu uondokane nasi," amesema.

Ametoa wito huo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakati akishiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) mkoani Morogoro.

Rais Samia amesisitiza kuwa zoezi la sensa ya watu na Makazi ni muhimu sana na kuwa bila takwimu nzuri mipango ya maendeleo haitakaa vizuri.

Hivyo, kutokana na umuhimu wa sensa hiyo rais amewasihi viongozi wa dini kuwahimiza wananchi kushiriki katika zoezi hilo la Kitaifa.