Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 23Article 543922

Habari za Mikoani of Wednesday, 23 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Vituko vya RC Makongoro akiapisha "Sijawahi kuapisha Ma DC, Mrembo ana mvuto"

Vituko vya RC Makongoro akiapisha Vituko vya RC Makongoro akiapisha "Sijawahi kuapisha Ma DC, Mrembo ana mvuto"

NI Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere ambae time hii aemfanya uapisho kwa Wakuu wa wilaya sasa miongoni mwa vitu vilivyowaacha hoi  watendaji na watu mbalimbali kupelekea kucheka ni baada ya kusema tangu azaliwe hajawahi kuwaapisha Ma DC hivyo anamshukuru Mama Samia  kwa kumpa cheo cha Ukuu wa mkoa kwani kimemuheshimisha.