Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 586099

Habari Kuu of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Vituo vya 'Massage' vyatakiwa kusajili kabla ya Machi 31,2022

Vituo vya 'Massage' vyatakiwa kusajili kabla ya Machi  31,2022 Vituo vya 'Massage' vyatakiwa kusajili kabla ya Machi 31,2022

Vituo vinavyotoa Huduma za Kusinga maarufu kama 'Massage' vimetakiwa kusajiliwa na Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala pamoja na kuwa na vibali vya kutoa huduma hiyo

Baraza la Tiba Asili limesema suala la 'Massage' ni suala la tiba ya asili na linahitaji wanaotoa huduma kupata mafunzo maalum ya kufanya kazi hiyo, hivyo kutoa huduma bila kusajili ni kukiuka Sheria